TUMSIFU YESU KRISTU !
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itayokuwa kwa watu wote; maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye KRISTO BWANA.
( luka 2:10-11)
JUMUIYA YA BIKIRA MARIA MALKIA WA MALAIKA INAWALETEA PICHA MBALIMBALI ZA MTOTO YESU IKIWA NI SEHEMU YA UINJILISHAJI INJILI AMBAYO MWOKOZI WETU AMETUACHIA. MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUANGALIA PICHA HIZI.
HALELUYA! |
KARIBU MOYONI MWANGU BWANA YESU 1 |
UKOMBOZI UMEFIKA KWETU. |
ASANTE MAMA MARIA ! |
HAKUNA NENO LISILOWEZEKANA KWA MUNGU. |
MAMA MARIA AKASEMA TAZAMA MIMI NI MJAKAZI WA BWANA NA IWE KWANGU KAMA ULIVYOSEMA |
YESU,MARIA NA YOSEFU MFANO WA FAMILIA IMARA DUNIANI ! |
NURU YA ULIMWENGU ! |
MWOKOZI WA WANADAMU WOTE ! |
MAMA ULIYEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIANI ! |
ASANTE MUNGU BABA KWA NEEMA ZAKO ! |
No comments:
Post a Comment