EE BABA YETU MUNGU MKUU,UMENILINDA USIKU HUU,NAKUSHURU KWA MOYO,EE BABA
MWANA NA ROHO, NILINDE TENA SIKU HII,NIACHE DHAMBI NIKUTII,NAOMBA SANA
BABA WE,BARAKA ZAKO NIPOKEE,BIKIRA SAFI , EE MARIA,NISIPOTEE
NISIMAMIE,MLINZI MKUU MALAIKA WE,KWA MUNGU NIOMBEE,NITAKE NITENDE MEME
TU,NA MWISHO NIJE KWAKO JUU AMINA.
NIA NJEMA
KUMHESHIMU MUNGU WANGU,NAMTOLEA ROHO YANGU,NIFANYE KAZI
NIPUMZIKE,AMRI ZAKE TU NISHIKE,WAZO NENO TENDO LOTE,NAMTOLEA MUNGU
POTE,ROHO MWILI CHOTE CHANGU,PENDO NA UZIMA WANGU,MUNGU WANGU
NITAMPENDA,WALA DHAMBI STATENDA,JINA LAKO NASIFIA,UTALO HUTIMIA,KWA UTII
NAVUMILIA,TESO NA MATATA PIA,NIPE BWANA NEEMA ZAKO,NIONGEZEE SIFA
YAKO.AMINA
Lengo kuu ya jumuiya yetu ni kumtangaza Bwana YESU aliye alfa na omega katika historia ya wokovu wa binadamu wote hapa duniani.
Pages
- Home
- MALENGO YA JUMUIYA
- NGUVU YA ROZARI TAKATIFU
- PICHA ZA BWANA YESU
- AMRI ZA MUNGU
- AMRI ZA KANISA
- MFUMO WA UONGOZI
- SALA YA ASUBUHI
- SALA YA JIONI
- SALA MBALI MBALI
- MASOMO YA JUMAPILI NA TAFAKARI
- UMUHIMU WA SKAPULARI
- MAPAJI SABA YA ROHO MTAKATIFU
- KATEKISIMU KATOLIKI
- UFASIRI WA BIBLIA KATIKA KANISA
- “ROZARI YA BIKIRA MARIA”
- NANI MWABUDU SANAMU ?
- CONTACT US
- PICHA ZA BIKIRA MARIA
- HISTORIA NA UKUU WA BIKIRA MARIA
Amen🌹🌹
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmen
ReplyDelete