Lengo kuu ya jumuiya yetu ni kumtangaza Bwana YESU aliye alfa na omega katika historia ya wokovu wa binadamu wote hapa duniani.
Pages
- Home
- MALENGO YA JUMUIYA
- NGUVU YA ROZARI TAKATIFU
- PICHA ZA BWANA YESU
- AMRI ZA MUNGU
- AMRI ZA KANISA
- MFUMO WA UONGOZI
- SALA YA ASUBUHI
- SALA YA JIONI
- SALA MBALI MBALI
- MASOMO YA JUMAPILI NA TAFAKARI
- UMUHIMU WA SKAPULARI
- MAPAJI SABA YA ROHO MTAKATIFU
- KATEKISIMU KATOLIKI
- UFASIRI WA BIBLIA KATIKA KANISA
- “ROZARI YA BIKIRA MARIA”
- NANI MWABUDU SANAMU ?
- CONTACT US
- PICHA ZA BIKIRA MARIA
- HISTORIA NA UKUU WA BIKIRA MARIA
Sunday, March 30, 2014
Ninyi mlioonja huruma ya Mungu, waonjesheni wengine huruma hiyo wala msiibinafsishe!
Baba
Mtakatifu Francisko amewaongoza waamini kutoka sehemu mbali mbali za
dunia kujiandaa kikamilifu kuadhimisha Jumapili ya nne ya kipindi cha
Kwaresima, Jumapili inayojulikana kuwa ni Jumapili ya furaha, kwa:
kufunga na kusali; toba na wongofu wa ndani; kuabudu Ekaristi Takatifu
pamoja na kuungama dhambi zao. Kwaresima ni kipindi cha toba na wongofu
wa ndani unaopaswa kuwa ni endelevu. Hii inatokana na sababu kwamba,
hakuna mwanadamu anayeweza kujidai kwamba, ni mkamilifu, kumbe anajitaji
kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment