MALENGO YA JUMUIYA

Sisi ni kikundi cha wakatoliki tuliounganika pamoja na kuunda jumuiya hii ambayo ipo chini ya Parokoia ya Kongowe ikiwa moja ya malengo ya kanisa katika kueneza neno la Mungu na hivyo kufanya watu wafahamu ukuu wa Mungu na wazifuate sheria zake kama Bwana wetu YESU KRISTU alivyotufundisha.

TUMSIFU YESU KRISTO.