MAPAJI SABA YA ROHO MTAKATIFU

TUMSIFU YESU KRISTU.

HAYA NDIO MAPAJI SABA YA ROHO MTAKATIFU, NI VYEMA KILA MKRISTU AKATAMBUA HIVI VIPAJI VYA ROHO MTAKATIFU NA ITAMSAIDIA KUFANYA KAZI KWA UNYENYEKEVU MKUBWA KWANI KIPAJI ULICHO NACHO NI ZAWADI YA MUNGU, HIVYO NI BORA UTUMIE KWA MANUFAA KATIKA JAMII INAYO KUZUNGUKA.
  1. HEKIMA
  2. AKILI
  3. SHAURI
  4. NGUVU
  5. ELIMU
  6. IBADA
  7. UCHAJI WA MUNGU

2 comments: