Home

BWANA YESU ANAKUITA !
Karibu katika mtandao wa Jumiya ya BIKIRA MARIA MALKIA WA MALAIKA, jisikie huru ukiwa kwenye mtandao huu na Mungu atakubariki kwani Bwana Yesu anakupenda na anakuhitaji sana katika ufalme wake ambao amekuandalia wewe na familia yako pamoja na watu wengine wote.

TUMSIFU YESU KRISTU.