PICHA ZA BWANA YESU

NDUGU MPENDWA ANGALIA PICHA HIZI
NA MUNGU AKURIKI SANA NA ABADILI NIA 
ZOTE MBAYA ILI UWE MTU MPAYA KATIKA 
JINA LA YESU KRISTO AMINA

http://jumuiyabmm.blogspot.com/p/picha-za-bwana-yesu.html
 MAMA MARIA WEWE NI MAMA MWEMA SANA
NA MWENYE UNYOFU WA MOYO , UTUOMBEE 
KWA BWANA ILI NASI TUWE NA WEMA
NA WENYE UNYOFU WA MOYO.
AMINA.

http://jumuiyabmm.blogspot.com/p/picha-za-bwana-yesu.html
 MAMA MARIA UMETESEKA KWA AJILI
YA DHAMBI ZETU, TUNAOMBA UZIDI KUTUOMBEA
KWA MWANAO MPENDWA ILI TUWE WATU SAFI NA WENYE 
NIA NJEMA KWA WENZETU

http://jumuiyabmm.blogspot.com/p/picha-za-bwana-yesu.html
HUU NDIO MWILI WANGU NA HII NDIO DAMU
YANGU FANYENI HIVI KWA UKUMBUSHO
WANGU, TULE NA TUVYWE MARA NYINGI
MWILI NA DAMU YA KRISTU
ILI TUWE HAI NDANI YAROHO
ZETU.

BWANA YESU ANAMELEWA MSALABA
KWA AJILI YA DHAMBI ZETU!

http://jumuiyabmm.blogspot.com/p/picha-za-bwana-yesu.html

BWANA HAYA NI MATESO MAKUBWA KWA AJILI YANGU
NAOMBA NEEMA YAKO BWANA ILI NIWEZE KUSHINDA
DHAMBI DAIMA !

http://jumuiyabmm.blogspot.com/p/picha-za-bwana-yesu.html

 MSALABA NI MZITO HADI WAMWELEMEA BWANA YESU
TUWE WADILIFU KATIKA MAISHA YETU, KWANA KRISTO
AMETESEKA KWA AJILI YETU HIVYO NI VYEMA KUACHANA
NA DHAMBI.

l
E BWANA WA MAJESHI TUPE UJASIRI
WA KUENEZA NENO LAKO DAIMA

l
BWANA YESU TUNAOMBA
UTUJALIE AMAINI TANZANIA.

l
ASANTE BWANA KWA UPENDO WAKO

l
WEWE NDIWE BWANA WA MAJESHI,
TUNAKUABUDU DAIMA!

BWANA YESU ANAKUITA MFUATE ILI AKUTAKASE.

BWANA YESU ANAPIGA HODI KWAKO MFUNGULIE

BWANA YESU ANASALI, JE WEW HUWA UNASALI ?

SURA YA AMANI NA UPENDO, JE WEWE UNA AMANI NA UPENDO MOYONI MWAKO ?

WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU.

MTU ASIPOKUWA KAMA MTOTO MDOGO HATAWEZA KUURITHI UFALME WA MUNGU.

TUWASAMEHE WOTE WATUKOSEAO, NASI TUTASAMEHEWA.

BWANA YESU ANASULUBIWA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU.

ANGALIA BWANA ASULUBIWA KATI YA WANYANGANYI KWA AJILI YAKO.

JE HUWA TUNASOMA MAANDIKO MATAKATIFU? TUIGE MFANO WA BWANA YESU.

NJOONI KWANGU WOTE MLEMEAO NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA.

HAKIKA NITAKUPA UZIMA-ASEMA BWANA YESU.

NABEBA MSALABA ILI NIKUKOMBOE



















No comments:

Post a Comment