Tuesday, December 25, 2012

SALAMU ZA KRISMAS KWA WATU WOTE.

JUMUIYA YA BIKIRA MARIA MALKIA WA MALAIKA INAWATAKIA WATU WOTE BARAKA TELE ZA BWANA YESU KATIKA SIKUKUU HII KUBWA YA KUZALIWA MWOKOZI WETU YESU KRISTO, AMANI YA BWANA WA MAJESHI IWE NANYI WOTE MIOYONI MWENU.

TUMSIFU YESU KRISTU.

No comments:

Post a Comment