PAPA FRANSI |
TUMSHUKURU BABA YETU ALIYE MBINGUNI KWA UPENDO WAKO MKUU WA KUTUPATIA PAPA MPYA NDANI YA KANISA KATOLIKI LA MITUME, TUNAKUOMBA BWANA WA MABWANA YESU KRISTU UMLINDE NA UMUONGOZE VYEMA HASA KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA IPO KWENYE MISUKOSUKO MINGI.AMINA
No comments:
Post a Comment