Wednesday, May 8, 2013

EE BWANA YESU NIFANYE NIWE CHOMBO CHA AMANI


 AMANI NA SALAMA.
EE BWANA YESU WEWE WAJUA MAWAZO YA MOYO WANGU, NAOMBA NIJAKIE NEEMA YAKO ILI KWELI NIWE CHOMBO BORA CHA NKUTANGAZA NENO LAKO POPOTE  BILA WOGA NKIJUA YA KWAMBA NINAYE MFALME WA WAFALME.

BASI SOTE KWA PAMOJA TUSALI SALA HIZI ILI MFALME WA WAFALME ATUJALIE NEEMA NA DHAMIRI SAFI KATIKA DUNIA HII YENYE CHANGAMOTO NYINGI.

AMINA.


No comments:

Post a Comment