Wednesday, May 8, 2013

MUNGU BABA TUJALIE MOYO WA UPENDO!


TUMSIFU YESU KRISTU !
TUNAWAOMBEA WATU WOTE WALIOHUDHURUIA UZINDUZI KANISA KATOLIKI ARUSHA NA KUPATA MAJERAHA NA KUPOTEZA MAISHA.




TUKUMBUKE KUWA WATU WOTE TULIUMBWA KWA MFANO WAKE MUNGU HIVYO KUMFANYINYIA MWENYEKO MAKOSA NI DHAHIRI KUMKOSEA MUNGU WETU ALIYETUUMBA.

BABA YETU ULIYE MBINGUNI TUNAOMBA UTUJALIE MIOYO YENYE KUPENDA AMANI, MIOYO YENYE KUJUA UWEPO WAKO KATI YETU, MIOYO YENYE KUTAMBUA UKUU WAKO KATI YETU, MIOYO YENYE FURAHA NA SI WASIWASI.

BABA YETU ULIYEMBIGUNI UTUJALIE AKILI SAHIHI ILI TUWE NA MAAMUZI BORA KATIKA MAISHA YETU.


TUMWOMBE MUNGU KWA PAMOJA KWA HIZI .

BABA YETU MARA X 2
SALAMU MARIA X 2
ATUKUZWE X2
NIA KUU NI KUMWOMBA  MUNGU WETU ALAINISHE  MIOYO YOTE MIGUMU NA YENYE NIA MBAYA NA KANISA NA TAIFA KWA UJUMLA.


AMANI NA SALAMA

No comments:

Post a Comment