Sunday, December 29, 2013

Bikira Maria ni Mama wa wote kwani amejaa neema!



Kanisa linajiandaa kuadhimisha Siku kuu ya Bikira Maria Mama wa Mungu, "Theotokos" sanjari ya Siku ya 47 ya Kuombea amani duniani hapo tarehe Mosi, Januari 2014. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema, Bikira Maria ni Mama wa wote, kwani amejaa neema!

HABARI:RADIO VATICAN

No comments:

Post a Comment