Baba
Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Jean Mbarga kuwa Askofu mkuu wa
Jimbo kuu la Yaoundè, Cameroon. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu mteule
Mbarga alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Ebolowa na Msimamizi wa
kitume wa Jimbo kuu la Yaoundè.
Habari kwa hisani ya radio vatican
No comments:
Post a Comment